Faida za kuuza viatu vya kike
Faida za kuuza viatu vya kike; Biashara ya viatu vya kike ni moja ya biashara zenye mzunguko mzuri wa fedha na faida kubwa sana hapa Tanzania. Wanawake hujali sana mwonekano, mitindo na aina ya viatu wanavyovaa katika kazi, sherehe, ibada, michezo na matembezi ya kila siku. Hii inafanya viatu vya kike kuwa…