Machimbo ya Magari Used Dar es Salaam
Machimbo ya Magari Used Dar es Salaam; Dar es Salaam, kama kitovu cha biashara na bandari kuu ya Tanzania, imekua soko kuu la magari used (second-hand). Kuongezeka kwa mahitaji ya usafiri wa kibinafsi, biashara ndogo, na usafirishaji umesababisha kuenea kwa machimbo ya magari katika maeneo mbalimbali ya jiji. Machimbo ya magari used ni sehemu…