ANZA BIASHARA YA PERFUME LEO
Anza biashara ya perfume leo; Biashara ya perfume (marashi ya kuvutia) ni miongoni mwa biashara zinazokua kwa kasi sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Watu wengi wanapenda kunukia vizuri kazini, nyumbani, shuleni, kwenye harusi, misibani na hata kwenye maisha ya kila siku. Hii imefanya mahitaji ya perfume kuwa makubwa kuliko hapo…