MACHIMBO YA PAMBA KALI KARIAKOO
Machimbo ya pamba kali kariakoo; Kariakoo ni kitovu cha biashara Tanzania, na ni mahali maarufu kwa wafanyabiashara kutoka mikoa yote na hata nchi jirani kama Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Malawi na Zambia. Miongoni mwa bidhaa zinazotafutwa kwa wingi Kariakoo ni pamba kali, aina ya nguo za ubora wa juu zinazoweza kuuzwa kwa faida…