AGIZA NGUO CHINA KWA BEI NAFUU
Agiza nguo china kwa bei nafuu; Biashara ya nguo ni moja ya biashara maarufu na yenye ushindani mkubwa Tanzania, hasa katika maeneo kama Kariakoo, Mwenge, Arusha, Mbeya na Mwanza. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakipata faida kubwa kwa kuagiza nguo kutoka China, kwa sababu bidhaa za China zinauzwa kwa bei nafuu lakini zina ubora…