ANZA BIASHARA YA NGUO LEO KWA MTAJI MDOGO
Anza biashara ya nguo leo kwa mtaji mdogo; Biashara ya nguo ni moja ya biashara maarufu zaidi duniani na hasa hapa Tanzania. Watu wanahitaji nguo kila siku—iwe kwa matumizi ya kawaida, kusafiri, sherehe, madrasa, ibada au kwenda kazini. Hili ndilo linalofanya biashara ya nguo kuwa fursa kubwa kwa mtu yeyote anayetaka kujiajiri, kujiongezea kipato…