Agiza Perfume Kutoka Dubai kwa Bei Nafuu
Agiza Perfume Kutoka Dubai kwa Bei Nafuu; Dubai imejulikana duniani kama kitovu cha biashara ya manukato yenye ubora wa juu na bei rafiki. Wafanyabiashara wengi kutoka Tanzania, Kenya, Uganda na nchi nyingine za Afrika wamekuwa wakinufaika sana kwa kuagiza perfume kutoka Dubai kwa bei ya jumla (wholesale) na kuuza kwa faida kubwa sokoni…