Mahali Zinapouzwa Apple iPhone 17 kwa Bei Nafuu
Mahali Zinapouzwa Apple iPhone 17 kwa Bei Nafuu; Kila mwaka Apple hutambulisha toleo jipya la iPhone duniani, na mamilioni ya watu husubiri kwa hamu kubwa kuona ubunifu mpya, uwezo mkubwa wa kamera, betri, kasi ya internet na usalama wa hali ya juu. Kwa mwaka wa 2025 na kuendelea, macho ya dunia…