Jifunze Namna ya Trading Holding na Staking Cryptocurrency
Jifunze Namna ya Trading Holding na Staking Cryptocurrency; Ulimwengu wa fedha unabadilika kwa kasi kupitia teknolojia ya sarafu za kidijitali (cryptocurrency). Leo hii, watu wengi duniani wanapata kipato kupitia njia mbalimbali za kuwekeza na kufanya biashara ya crypto, ikiwemo Trading, Holding (HODLing) na Staking. Hizi ni mbinu tatu tofauti ambazo kila mwekezaji anaweza kutumia ili…