UTANDAWAZI NA SARAFU ZA KIDIJITALI

UTANDAWAZI NA SARAFU ZA KIDIJITALI

Utandawazi na sarafu za kidijitali;       Katika karne ya 21, dunia imeingia katika mapinduzi makubwa ya teknolojia yanayoendeshwa na mtandao (internet). Mabadiliko haya yameathiri karibu kila sekta, ikiwemo elimu, biashara, afya, uchumi na mfumo wa malipo. Utandawazi umefanya dunia kuwa kama kijiji kimoja, ambapo mtu anaweza kufanya biashara, kusoma, kutuma au kupokea fedha kutoka…

Read More