AGIZA MARASHI YA KUVUTIA KUTOKA PARIS KWA BEI NAFUU
Agiza marashi ya kuvutia kutoka paris kwa bei nafuu; Paris, Ufaransa, imejulikana kwa miaka mingi kama mji mkuu wa harufu nzuri duniani (The World Capital of Perfume). Hapa ndipo makampuni makubwa, wabunifu wa manukato na viwanda vya kutengeneza perfumes vya kiwango cha juu vinapatikana. Ndiyo maana watu wengi nchini Tanzania, ikiwemo Dar es Salaam,…