Cryptocurrency na Teknolojia ya Blockchain
Cryptocurrency na Teknolojia ya Blockchain; Katika kipindi cha takriban miaka kumi iliyopita, dunia imeingia katika mapinduzi makubwa ya teknolojia ya kifedha kupitia ujio wa cryptocurrency na blockchain technology. Sarafu za kidijitali zimebadilisha namna watu wanavyofanya malipo, kuwekeza, kutuma na kupokea fedha kimataifa bila kuhitaji benki wala taasisi za kati. Watu zaidi ya milioni 400…