Historia ya Coin ya Ethereum
Historia ya Coin ya Ethereum; Katika ulimwengu wa cryptocurrency, Bitcoin mara nyingi huitwa mfalme wa sarafu za kidijitali, lakini Ethereum imekuwa msingi muhimu zaidi wa ubunifu mkubwa unaoendelea ndani ya teknolojia ya blockchain. Ethereum ni jukwaa la blockchain linaloruhusu watengenezaji kujenga programu zinazojiendesha kiotomatiki (smart contracts), michezo ya blockchain, decentralized finance (DeFi), Non-Fungible…