MABADILIKO YA BITCOIN KATIKA BARA LA AFRICA
Mabadiliko ya bitcoin katika bara la africa; Katika miaka ya hivi karibuni, Bitcoin na sarafu nyingine za kidijitali (cryptocurrencies) zimekuwa gumzo duniani, lakini kasi ya mabadiliko yake katika bara la Afrika imekuwa ya kipekee na ya kushangaza. Pamoja na changamoto za kiuchumi, ukosefu wa ajira, utandawazi, na mabadiliko ya teknolojia, vijana wengi…