Biashara ya Mtaji Mdogo
Biashara ya Mtaji Mdogo; Katika dunia ya leo, wengi wana ndoto ya kujitegemea kiuchumi lakini hukwama kutokana na ukosefu wa mtaji mkubwa. Watu wengi huamini kuwa huwezi kuanzisha biashara bila kuwa na fedha nyingi, lakini ukweli ni kwamba biashara ya mtaji mdogo ndiyo iliyowainua wafanyabiashara wengi waliopo leo. Tanzania imejaa fursa nyingi…