Maduka ya Simu za Bei Nafuu Kariakoo
Maduka ya Simu za Bei Nafuu Kariakoo; Kariakoo ni moja ya maeneo maarufu sana jijini Dar es Salaam kwa biashara mbalimbali, hususan biashara ya simu za mkononi. Watu wengi kutoka mikoa tofauti ya Tanzania hufika Kariakoo kununua simu kwa sababu bei zake ni nafuu ukilinganisha na maeneo mengine kama Mlimani City,…