Aina za Simu na Bei Zake Tanzania
Aina za Simu na Bei Zake Tanzania; Simu ya mkononi imekuwa moja ya vifaa muhimu zaidi katika maisha ya kila siku ya mwanadamu. Leo hii, simu haitumiki tu kwa kupiga na kupokea simu, bali pia kwa biashara mtandaoni, masomo, kuburudisha, kupiga picha, kufanya malipo ya kifedha na hata kazi za kitaalamu….