Namna ya Kuagiza Mizigo China Kutumia Alibaba

Namna ya Kuagiza Mizigo China Kutumia Alibaba

Namna ya Kuagiza Mizigo China Kutumia Alibaba;       Katika dunia ya leo ya biashara ya mtandaoni, kuagiza mizigo kutoka China kumegeuka kuwa fursa kubwa ya kipato kwa wafanyabiashara wengi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. China ni kitovu kikubwa cha viwanda duniani kinachozalisha bidhaa kwa gharama nafuu, ubora tofauti tofauti na kwa wingi mkubwa….

Read More