JINSI YA UFANYAJI WA BIASHARA ZA KIDIGITALI NA FAIDA ZAKE
JINSI YA UFANYAJI WA BIASHARA ZA KIDIGITALI NA FAIDA ZAKE Jinsi ya ufanyaji wa biashara za kidigitali na faida zake; Dunia ya sasa imebadilika kwa kasi kubwa kutokana na maendeleo ya teknolojia na upatikanaji wa intaneti. Watu wengi leo hii wanatumia muda mwingi kwenye simu janja, kompyuta na mitandao ya kijamii kuliko sehemu yoyote nyingine….