Matatizo ya Simu na Ufumbuzi Wake
Matatizo ya Simu na Ufumbuzi Wake; Simu ya mkononi imekuwa kifaa muhimu sana katika maisha ya kila siku. Tunaitumia kwa mawasiliano, biashara, masomo, malipo ya kifedha, burudani na hata usalama. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake, simu hukumbwa na matatizo mengi ya kiufundi (software na hardware) ambayo huwasumbua watumiaji kila siku. Baadhi…